Kirjojen hintavertailu. Mukana 12 313 395 kirjaa ja 12 kauppaa.

Kirjailija

F Wayne Mac Leod

Kirjat ja teokset yhdessä paikassa: 167 kirjaa, julkaisuja vuosilta 2015-2026, suosituimpien joukossa Juan. Vertaile teosten hintoja ja tarkista saatavuus suomalaisista kirjakaupoista.

Mukana myös kirjoitusasut: F. Wayne Mac Leod

167 kirjaa

Kirjojen julkaisuhaarukka 2015-2026.

Matthew, Mark, and Luke (Volume 3) - Urdu Edition

Matthew, Mark, and Luke (Volume 3) - Urdu Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2025
pokkari
کچھ چیزیں ہمارے دلوں اور دماغوں کو وسعت دینے اور ہمیں خُدا کے قریب لانے میں خاموش عکاسی اور اُس کے کلام کے مطالعہ سے زیادہ مؤثر ثابت ہوئی ہیں۔ اس نے ہمیں چھیاسٹھ کتابوں میں اپنی ذات کا انکشاف کیا، لیکن اکثر ہم زیادہ مانوس اقتباسات کی طرف رجوع کرتے ہیں اور زیادہ مشکل اور پیچیدہ کتابوں سے گریز کرتے ہیں۔ دی لائٹ ٹو مائی پاتھ کی تفسیریں آپ کے لیے بائبل کو اس انداز میں کھولیں گی جو قابل فہم اور عملی ہو۔ صرف ایک علمی مطالعاتی امداد سے زیادہ، دی لائٹ ٹو مائی پاتھ کی تفسیریں بائبل میں خُدا کے خود کے انکشاف کے لیے عقیدت مند رہنما ہیں۔اپنی ذاتی عبادت، مطالعہ، اور عقیدت کے وقت لائٹ ٹو مائی پاتھ کمنٹیرز کا استعمال کریں۔ غور کرنے کے لیے سوالات اور ہر باب کے آخر میں دعا کے لیے نکات ہر کتاب کو آپ کی آج کی زندگی کے لیے متعلقہ بناتے ہیں اور گروپ اسٹڈیز کے لیے مفید بحث کا آغاز کرتے ہیں۔ جیسا کہ آپ ہر کتاب کے پیغام پر غور کرتے ہیں، آپ اپنے دل اور دماغ کو عبادت میں خُدا کی طرف کھینچتے ہوئے پائیں گے۔
Babylon the Great - Swahili Edition

Babylon the Great - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Babeli KuuMtazamo Wa Ibada Katika Ushawishi Wa Babeli Katika Kufunuliwa Kwa Kusudi La Mungu DunianiEneo la Babiloni lina jukumu muhimu katika Biblia. Kuna vidokezo vya taifa hili kuu kutoka Mwanzo hadi Ufunuo. Ni zaidi ya taifa adui wa taifa la Kiyahudi la Agano la Kale, hata hivyo. Babeli imekuja kuwakilisha adui mkubwa zaidi na mwenye hila zaidi ambaye anaendelea kuwafanya waamini kukwazwa hata katika siku zetu.Katika kitabu hiki, tutachunguza ushawishi wa Babeli katika maisha ya waumini kutoka Mwanzo hadi Ufunuo na kutumia hili kwa kanisa la siku zetu.Kitabu hiki ni cha ibada na kimekusudiwa kumsaidia mwamini si tu kuelewa falsafa ya Babeli ya kisasa bali pia kuipinga kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition

A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka KuniNabii wa moto, hivyo ndivyo Yeremia alivyokuwa. Ujumbe wake ulichoma wale waliomsikia akisema. Hakuna mtu anayependa kuchomwa moto. Kwa sababu hiyo, wasikilizaji wake walitaka kumuua. Wakamtupa gerezani. Hakuwa na marafiki wengi. Hakuwahi kuoa na hakuwa na watoto wa kuendeleza jina lake. Kwa miaka arobaini, hata hivyo, alitangaza neno la Bwana kwa uaminifu kwa watu ambao waligeuza migongo yao na kuziba masikio yao. Yeye ni mfano wa ibada ya kweli na uvumilivu. Utafiti huu unachunguza matukio muhimu na jumbe za mtu huyu mkuu wa Mungu.
Wounded Hearts and Empthy Pews - Swahili Edition

Wounded Hearts and Empthy Pews - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Mioyo Iliyojeruhiwa na Mabenchi Tupu Kanisani- Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao?- Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa?- Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya?- Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima?- Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza? Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.
The Lost Sheep - Swahili Edition

The Lost Sheep - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Hili ni fundisho la Luka 15:3-7. Katika njia nyingi fumbo hili linahusu namna ya kuwa Mchungaji mwaminifu wa Kondoo wa Mungu. Inafunua moyo wa Bwana Yesu kwa watu wake wa Thamani ambao wamepotea nji. Ni wito kwa wote ambao watasikia mafundisho yake kuusikia moyo wa Mungu kwa ajili ya wale mbao ushirika wao na furaha vimezuiliwa. Huduma ya kurejesha kondoo kwenye ushirika si kazi rahisi. Ni kwa mtu ambae, anapendezwa na moyo wa Mungu. Nina shawishika kuwa utajri wa Baraka zake zitakaa juu ya wale wanaoshiriki kujali kwake kwa ajili ya Kondoo waliokwenda mbali.
Not What I Expected Swahili Edition

Not What I Expected Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Wakati maisha yasipobadilika kama uylivyotarajia mafunzo Kotoka kitabu cha Kutoka 16:3Kama tukiwa wakweli kabisa, kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia, Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kutoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu y kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarajio ya Waisraeli na Imani juu ya Mungu.
If Your Brother Sins - Swahili Edition

If Your Brother Sins - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Hatupaswi kuyatelekeza matatizo kati ya waumini kama tunavyofanya kwa watoto wetu ndani ya familia zetu. Mara kwa mara hatutakubali kuona jinsi mambo yatakavyoendeshwa. Wakati mwingine tunatenda kwa hasira na kiburi. Haiba zetu hugongana. Watu huumizwa.Maandiko yamejaa mifano mingi ya migogoro kati ya waumini.Bwana Mungu alijua kwamba jambo hili litaendelea kutokea, hivyo akatoa maelekezo ya jinsi gani tunaweza kulishughulikia jambo kama hili. Kwa upendeleo wa pekee hapa Yesu anatufundisha katika Mathayo 18:15-17. Katika kifungu hiki Yesu anatufundisha jinsi ya kuyashughulikia matatizo yanapotokea.Mathayo 18 inatoa changamoto ya kuyashughulikia mambo kibinafsi yanapotokea katikati ya mahusiano yetu. Inaelekeza njia iliyo salama kwa ndugu walioanguka ili kupatana na kuwatia moyo waumini wachanga kiroho kuwatia moyo ndugu zao katika nyakati za matatizo.
If My People - Swahili Edition

If My People - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda. Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kwa msamaha na kufanya upya baraka kwa watu wake. Katika jibu la maombi ya Sulemani, Mungu alishirikisha mahitaji yake kwa huo msamaha na uponyaji uchukue nafasi. Kusudi la Mungu halikubadilika. Ikiwa unataka kufahamu nini Mungu anahitaji kwa burudisho na kufanywa upya katika maisha yako ya kiroho, hivi vifungu viwili ni ufunguo.
East of Eden - Swahili Edition

East of Eden - Swahili Edition

F Wayne Mac Leod

Light to My Path Book Distribution
2024
pokkari
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi. Kifungu hichi, kwanamna nyingine, ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu juu ya watu wake kwa ujumla. Tuliumbwa kuishi kwenye Bustani ya Edeni. Lakini dhambi ikaondoa haki ya sisi kukaa katika ukamilifu wa Edeni, Bwana wetu Yesu kristo amerudisha haki hii kwa kifo chake na kufufuka kwaajili yetu. Baraka na haki za Edeni zipo kwa mtu yeyote atakae pokea msamaha kupitia Bwana Yesu.